Skip to main content
Skip to main content

Wapelelezi wachunguza uhusiano wa mauaji ya Dkt. Victoria na wakili Mbobu

  • | Citizen TV
    4,965 views
    Duration: 2:39
    Wapelelezi katika uchunguzi wa mauaji ya Daktari Victoria Nthunya Mutiso sasa wanachunguza iwapo kuna uhusiano kati ya mauaji hayo na yale ya wakili Mathew Kyalo Mbobu mnamo Septemba mwaka uliopita. Haya yanajiri huku ikibainika kuwa wakili Mbobu aliwakilisha mume wa Victoria, Profesa David Musyimi Ndetei, katika kesi ya mgogoro wa mali kati yake na mkewe wa zamani, Rose Mbithe Ndetei. Ben Kirui anaarifu zaidi.