19 Jun 2026 10:37 am | Citizen TV 208 views Duration: 1:49 Vijana,wanawake na watu ambao huishi na ulemavu katika kaunti ya Bungoma wahimizwa kujitokeza kuwania nyadhifa mbalimbali za kisiasa nchini ili kukuza demokrasia na kushiriki katika maamuzi muhimu ya kitaifa.