Skip to main content
Skip to main content

Wasafiri wa masafa marefu waathiriwa na mgomo wa kupinga bei ya mafuta

  • | Citizen TV
    1,233 views
    Duration: 2:43
    Athari za mgomo wa sekta ya uchukuzi zilishuhudiwa pia miongoni mwa wasafiri wa masafa marefu huku baadhi yao wakitatizika kuendelea na shughuli zao za kila siku. Hali hiyo ilitokana na magari ya safari ndefu kuungana na wenzao katika kupunguza shughuli zao kufuatia mgomo wa kulalamikia bei ya juu ya mafuta. Jioni hii, tunaangazia simulizi za baadhi ya abiria walioathiriwa katika safari zao za kikazi na kifamilia nchini.