Skip to main content
Skip to main content

Wasafiri wakaguliwa na kupimwa ugonjwa wa Ebola mpakani Malaba

  • | Citizen TV
    164 views
    Duration: 2:23
    Juhudi za kuzuia maambukizi ya ugonjwa wa ebola katika mji wa Malaba mpakani mwa kenya na Uganda zazidi kupigwa jeki baada ya taasisi ya utafiti wa matibabu nchini Kemri kuendeleza shughuli za kutoa ufadhili wa vifaa vya kusaidia kuzuia mambukizi na kuendeleza hamasa dhidi ya ugonjwa huo.