Skip to main content
Skip to main content

Wasafiri wakwama usiku kucha Mai Mahiu–Suswa–Narok kufuatia maporomoko ya tope

  • | Citizen TV
    41,768 views
    Duration: 2:50
    Mamia ya wasafiri walikwama usiku kucha baada ya mkusanyiko mkubwa wa tope na mchanga kufanya sehemu kadhaa za barabara ya Mai Mahiu–Suswa–Narok kutoweza kutumika. Hali hii iliwaathiri pakubwa wasafiri na wale wenye magari ya usafirishaji wa mizigo. Mvua inayoendelea kunyesha imeharibu vibaya maeneo kadhaa karibu na Suswa.