17 Aug 2026 10:44 am | Citizen TV 664 views Duration: 1:55 Wasambazaji maji kupitia malori kaunti ya Mombasa wanataka mamlaka ya uchukuzi NTSA pamoja na maafisa wa polisi kitengo cha trafiki kuweka mikaka ili kudhibiti ongezeko la ajali zinazohusishwa na sekta hiyo.