Skip to main content
Skip to main content

Wasanii wa michoro wapinga vikali agizo linalopiga marufuku sanaa za mapambo kwenye matatu

  • | NTV Video
    543 views
    Duration: 3:01
    Wasanii wa michoro, wamiliki wa karakana pamoja na washikadau wengine katika sekta ya matatu wamepinga vikali idhini ya mahakama kuu kwa agizo la NTSA linalopiga marufuku sanaa za mapambo na madirisha kwenye matatu za huduma ya umma. Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows. Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya