Skip to main content
Skip to main content

Wasanii wamkumbuka Johana Ngéno kwa mchango wake kwenye sanaa

  • | Citizen TV
    1,035 views
    Duration: 1:57
    Wanamuziki wa jamii ya wakalenjin wameeleza huzuni yao kufuatia kifo cha mbunge wa Emurua Dikirr, Johanna Ngeno siku mbili zilizopita, wakisema alikuwa kwenye mstari wa mbele kukuza vipaji vya wanamuziki.