Skip to main content
Skip to main content

Washikadau wa elimu katika Kaunti za Kisii na Nyamira wajumuika kujadili masuala ya elimu eneo hilo

  • | NTV Video
    613 views
    Duration: 2:17
    Kufuatia mikasa kadhaa ya moto na msukosuko katika shule nyingi eneo la Gusii, washika dau wa elimu katika Kaunti za Kisii na Nyamira wamejumuika katika kongamano la siku mbili katika Chuo Kikuu cha Kisii ili kujadili masuala yanayohusu elimu eneo hilo. Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows. Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya