- 172 viewsDuration: 1:41#ktnnews #KTNNewsDigital #ktnkenya #KTNTV #KTNHome #KenyaNews Haja ya wakulima wa kahawa kuongeza uzalishaji wa zao hilo nchini inachangiwa na kuwepo kwa bei nzuri pamoja na wananchi wengi kutumia kahawa badala ya kutegemea wateja kutoka ughaibuni. Hali hii imepelekea washikadau katika sekta ya kahawa kusisitiza umuhimu wa Wakenya kutumia kahawa inayozalishwa humu nchini ili kuimarisha soko la zao hilo badala ya kutegemea soko la kimataifa tu. #KTNKenya #NewsChannel #BreakingNews #KenyaNews #ktnprime #livestream #livenews SUBSCRIBE to our YouTube channel for more great videos: https://www.youtube.com/ktnnewskenya Follow us on Twitter: https://twitter.com/KTNNewsKe Like us on Facebook: https://www.facebook.com/KTNNewsKenya KTN News is a leading 24-hour TV channel in Eastern Africa with its headquarters located along Mombasa Road, at Standard Group Centre. This is the most authoritative news channel in Kenya and beyond. Watch KTN Live http://www.ktnnews.com/live Watch KTN News http://www.ktnnews.com Follow us on http://www.twitter.com/ktnnews Like us on http://www.facebook.com/ktnnews