Skip to main content
Skip to main content

Washikadau wa sheria wakusanyika Holy Family Basilica kwa ibada ya Red Mass

  • | Citizen TV
    282 views
    Duration: 2:10
    Washikadau mbalimbali katika idara ya sheria walikusanyika katika Holy Family Basilica kwa ibada yao ya kwanza ya Red Mass, ambapo ala zao za kazi zilibarikiwa huku wakiahidi kujitolea katika kutekeleza haki.