Skip to main content
Skip to main content

Washikadau wahamasisha jamii kupambana na mauaji ya wanawake na dhulma za kijinsia

  • | Citizen TV
    763 views
    Duration: 1:45
    Katika jitihada za kukabiliana na visa vya mauaji ya wanawake pamoja na dhulma za kijinsia, washikadau mbalimbali wanaendelea kuhamasisha jamii kupitia mbinu mbadala za kuzuia na kushughulikia changamoto hiyo.