- 18,578 viewsDuration: 3:04Washukiwa 17 wamekamatwa na polisi kufuatia visa vya ghasia vilivyoshuhudiwa wakati wa mkutano wa Linda Mwananchi Kaunti ya Homa Bay. Aidha, mali imeharibiwa kufuatia ghasia hizo kwenye siku ambayo wanasiasa wa Linda Mwananchi walipanga mikutano ya kisiasa eneo hilo. Na kama Gatete Njoroge anavyorifu, miongoni mwa waliojeruhiwa ni wanahabari wawili ambao vifaa vyao pia viliibwa na wahuni.