Skip to main content
Skip to main content

Washukiwa kumi wa ufisadi wafungwa miaka 75 Malindi

  • | Citizen TV
    8,740 views
    Duration: 2:10
    Watu kumi na kampuni zilizohusishwa na ulaghai wa zaidi ya shilingi milioni 52 kutoka kwa hazina ya serikali ya Kaunti ya Kilifi wahukumiwa kifungo cha jumla ya miaka 75 gerezani baada ya kupatikana na hatia ya makosa yanayohusiana na ufisadi na mahakama ya Kupambana na ufisadi ya Malindi.