- 1,507 viewsDuration: 1:31Rose Mulwa na mwanawe Chris Mulwa, ambao ni washukiwa wakuu katika mauaji ya dkt Victoria Mutiso, wameishutumu serikali na mahakama kwa kile walichokiita udhalilishaji na kutotendewa haki, baada ya kufikishwa mahakamani kuhusiana na kesi hiyo.