- 6,935 viewsDuration: 3:23Washukiwa wawili wa mauaji ya Dkt. Victoria Mutiso wataendelea kuzuiliwa kwa siku 21 kuruhusu polisi kukamilisha uchunguzi. Washukiwa hao, Rose Mbithe na mwanawe Chris Mulwa, walifikishwa tena mahakamani huku binti yao mwingine, Angela Mulwa, akifikishwa Mahakama ya Mavoko baada ya kupatikana na gari linalodaiwa kuibwa kwenye shamba lenye utata kati ya babake Profesa David Ndetei na mamake Mbithe eneo la Mlolongo. Gatete Njoroge ana mengi zaidi.