Skip to main content
Skip to main content

Washukiwa wanne wa mauaji ya wakili Kyalo Mbobu wafikishwa mahakamani Milimani

  • | Citizen TV
    2,260 views
    Duration: 49s
    Washukiwa wanne wa mauaji ya wakili kyalo mbobu wakiwemo maafisa wawili wa polisi wamefikishwa katika mahakama ya milimani. Upande wa mashtaka unaomba kuwazuiliwa julius cheruiyot, nicholas lemiso, noah kipkirui na kennedy kipkemei kwa siku 30 kuwaruhusu kukamilisha uchunguzi.