Skip to main content
Skip to main content

Washukiwa watatu wa uwindaji haramu wanaswa Dadaab

  • | Citizen TV
    411 views
    Duration: 1:07
    Maafisa wa Huduma ya Wanyamapori Kenya (KWS) wamewanasa washukiwa watatu wa uwindaji haramu katika eneo la Dagahaley, kaunti ndogo ya Dadaab, wakiwa na nyama ya wanyamapori.