Skip to main content
Skip to main content

Washukiwa watatu wa wizi ambao walitoroka na majeraha ya risasi wasakwa Mombasa

  • | NTV Video
    19,709 views
    Duration: 2:29
    Maafisa wa polisi huko Mombasa wanawasaKa washukiwa watatu wa wizi ambao walitoroka na majeraha ya risasi. Wezi hao walipatikana wakiiba kutoka kwa gari la mfanyibiashara mmoja eneo hilo . Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows. Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya