- 823 viewsDuration: 1:29Washukiwa watatu wa ulanguzi wa dawa za kulevya wamekamatwa katika eneo la Ichuga mpakani mwa kaunti za Laikipia County na Nyeri County baada ya polisi kupata kilo 18 za bangi katika operesheni ya pamoja ya kupambana na mihadarati