Skip to main content
Skip to main content

Washukiwa wawili wa mauaji ya Daktari Mutiso wazuiliwa kwa siku 14 zaidi

  • | Citizen TV
    2,251 views
    Duration: 2:38
    Washukiwa wengine wawili katika mauaji ya Daktari Victoria Mutiso, Angela Mulwa na Nelson Masiga, wataendelea kuzuiliwa kwa siku 14 zaidi. Mahakama ilisema upande wa mashtaka ulitoa sababu za kutosha kuendelea kuzuiliwa kwa washukiwa hao waliokamatwa na gari linalodaiwa kuibwa kwenye shamba lenye utata linalohusishwa na mauaji ya daktari huyo. Gatete Njoroge na taarifa hiyo.