Skip to main content
Skip to main content

Wasichana waepuka ukeketaji na kufuzu kwa kozi mbalimbali Samburu

  • | Citizen TV
    203 views
    Duration: 3:22
    Changamoto imetolewa kwa jamii ya wafugaji ya wasamburu kukomesha tohara ya mtoto wa kike,na badala yake kukumbatia mbinu mbadala isiyokuwa na madhara kwa mtoto wa kike . Haya yamejiri katika hafla ya kufuzu kwa wasichana waliopokezwa mafunzo mbalimbali ya ujuzi ili kuwalinda dhidi ya makali ya ukeketaji.