Skip to main content
Skip to main content

Wasiwasi wa Ebola wazidi Busia, kaunti yaweka tahadhari mipakani

  • | Citizen TV
    1,340 views
    Duration: 2:37
    Wasiwasi umeibuka miongoni mwa wakazi wa Kaunti ya mpakani ya Busia kufuatia hofu za ugonjwa wa Ebola nchini Uganda na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo. Hata hivyo, Waziri wa Afya wa Busia ambaye pia ni Naibu Gavana Arthur Odera amesema serikali ya kaunti imeendelea kuwa macho kudhibiti kusambaa kwa ugonjwa huo. Amesema ugonjwa huo umeua zaidi ya watu 100 DRC na mtu mmoja nchini Uganda, huku hatua za ufuatiliaji na uzuiaji zikiimarishwa katika maeneo ya mipakani.