Skip to main content
Skip to main content

Wasomi wa Turkana wataka kupewa kipaumbele katika ajira za uchimbaji mafuta

  • | Citizen TV
    1,714 views
    Duration: 3:42
    Kampuni ya uchimbaji mafuta ya Gulf energy inapojiandaa kuanza zoezi ya kuchimba visima vya mafuta Turkana kuanzia mwezi ujao,vijana wasomi Turkana waliohitimu katika taaluma ya mafuta na gesi,wametoa wito kwa kampuni hiyo kuwapa kipaumbele kwa nafasi za ajira,wakidai kuwa huenda wakapuuzwa kwa madai kuwa hawajahitimu.