Skip to main content
Skip to main content

Wataalamu katika sekta ya ujenzi nchini Kenya wameibua hofu ya ongezeko la wahudumu wasiohitimu

  • | Citizen TV
    501 views
    Duration: 1:20
    Wataalamu katika sekta ya ujenzi nchini Kenya wameibua hofu juu ya kile wanachoeleza kuwa tatizo la usalama linaloongezeka, wakilaumu sheria zilizopitwa na wakati, utekelezaji dhaifu na kuongezeka kwa wahudumu wasiohitimu kwa kuweka maisha ya wananchi hatarini, huku wakishinikiza hatua za kujidhibiti.