Skip to main content
Skip to main content

Wataalamu wa afya waendelea kuhimiza umuhimu wa lishe bora kama msingi wa unyonyeshaji

  • | NTV Video
    180 views
    Duration: 1:44
    Kadri dunia inavyoadhimisha Wiki ya Unyonyeshaji Duniani, wataalamu wa afya wanaendelea kuhimiza umuhimu wa lishe bora kama msingi wa unyonyeshaji wa maziwa ya mama pekee na ukuaji wenye afya wa mtoto katika miaka ya mwanzo ya maisha. Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows. Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya