Skip to main content
Skip to main content

Wataalamu wa uholanzi waandaa kongamano la maji ya ardhini Turkana

  • | Citizen TV
    206 views
    Duration: 1:58
    Wataalamu na watafiti wa maji ya ardhini kutoka Netherlands wameandaa kongamano katika chuo kikuu cha Turkana mjini Lodwar, Kaunti ya Turkana County, kujadili mbinu za kuvuna maji ya ardhini na matumizi bora ya rasilimali hiyo.