17 Aug 2026 10:30 am | Citizen TV 348 views Duration: 1:49 Wataalam na viongozi wa maswala ya vijana wa kanisa la kiadventisti nchini wamesisitiza haja ya vijana kujiepusha na uchochezi wa wanasiasa hasa kampeni za uchaguzi mkuu wa 2027 zinapoendelea.