Skip to main content
Skip to main content

Wataalamu wakutana Nairobi kujadili mbinu za kuunganisha elimu ya darasani na ujuzi wa viwandani

  • | Citizen TV
    309 views
    Duration: 1:33
    Nairobi imekuwa kitovu cha majadiliano kuhusu mustakabali wa ukuzaji wa ujuzi barani Afrika, huku wataalamu wa elimu kutoka kote barani wakijadili mbinu za kuhakikisha ujuzi wa darasani unawiana na wa kazini.