Skip to main content
Skip to main content

Wataalamu waonya kuhusu afya ya akili kwa wanaume

  • | Citizen TV
    288 views
    Duration: 4:47
    Mara nyingi wanaume wanapopatwa na msongo wa mawazo hawatafuti ushauri nasaha. Hali hiyo imechangia kudorora kwa afya ya akili kwa wanaume wengi nchini. Catherine Gatwiri kutoka kituo cha Equity Afya Kitengela anazungumzia umuhimu wa kuzingatia afya ya akili, dalili za kuashiria msongo wa mawazo na jinsi wanaume wanaweza kulinda afya yao ya akili.