5 Oct 2026 10:53 am | Citizen TV 343 views Duration: 2:34 Wataalamu wa afya wameonya kuhusu kuongezeka kwa magonjwa yanayohusishwa na mtindo wa maisha, wakisema msongo wa mawazo, lishe isiyofaa na mienendo isiyo bora kiafya vinaweza kuathiri viungo muhimu vya mwili.