Skip to main content
Skip to main content

Watoto na vijana waongoza katika maambukizi mapya ya HIV nchini

  • | Citizen TV
    1,005 views
    Duration: 3:03
    Ingawa taifa limekuwa likinakili kupungua kwa maambukizi mapya ya ugonjwa wa ukimwi kwa asilimia 56 tangu mwaka 2020, takwimu za mwaka huu zilizotolewa na Baraza la Kitaifa la Kudhibiti Magonjwa ambukizi zinaonyesha hali ya kutia wasiwasi. Watoto na vijana wanachangia zaidi ya nusu ya maambukizi mapya ya Virusi vya Ukimwi nchini. Serikali imezindua Mipango ya Kudhibiti virusi hivyo katika kaunti zote 47, hatua inayolenga kupeleka huduma za kudhibiti Virusi vya Ukimwi karibu zaidi na jamii ambako maambukizi bado yanaendelea kurekodiwa. Mary Muoki na taarifa hiyo.