- 367 viewsDuration: 1:27Wakenya wanapojiandaa kwa sherehe za kuvuka mwaka, hali ya kusikitisha inazidi kuzonga maelfu ya watoto waliokatika hifadhi za watoto maeneo mbalimbali kule Kisii kwani wengi sasa wamegeukia serikali, jamii na mashirika mbalimbali kuwakumbuka kwa vyakula, malezi na jinsi ya kupiga jeki elimu yao.