Skip to main content
Skip to main content

Watoto wanane wa kesi ya mauaji ya wanafunzi wa Utumishi wasalia rumande

  • | Citizen TV
    5,867 views
    Duration: 3:08
    Watoto wanane wanaohusishwa na mauaji ya wanafunzi 16 wa Shule ya Upili ya Utumishi watasalia rumande kwa zaidi ya miezi miwili hadi mahakama itakapotoa uamuzi kuhusu ombi lao la kuachiliwa kwa dhamana. Jaji Diana Kavedza wa Mahakama ya Kibra ametoa uamuzi huo huku watoto hao wakiendelea kukabiliwa na mashtaka hayo, kama anavyoripoti Ben Kirui.