2 Jul 2026 1:16 pm | Citizen TV 6,356 views Duration: 2:44 Watoto watatu wamefariki dunia baada ya moto kuteketeza jiko walimokuwa wamelala katika kijiji cha Kimatisio. Polisi wamesema uchunguzi umeanzishwa kubaini chanzo cha moto huo na mazingira yaliyosababisha vifo hivyo