- 1,729 viewsDuration: 2:48Watoto watatu wameaga dunia baada ya moto kuteketeza nyumba yao walipokuwa wamelala katika kijiji cha Kimatisio, eneo bunge la Chepalungu, kaunti ya Bomet. Majirani wanasema walishindwa kuwaokoa watoto hao kwani moto huo ulisambaa kwa haraka. Polisi wameanzisha uchunguzi kubaini chanzo cha moto huo namna Powel Okunyo anaarifu.