- 2,698 viewsDuration: 2:37Wizara ya Afya imesema watu 108 kati ya 122 waliokutana na mgonjwa aliyefariki kutokana na Ebola nchini wamewekwa karantini. Waziri wa Afya Aden Duale amesema kisa hicho ndicho pekee kilichothibitishwa kati ya sampuli 293 zilizopimwa kufikia sasa. Katibu wa Afya Mary Muthoni amewarai Wakenya kuendelea kuchukua tahadhari, kama Serfine Achieng’ Ouma anavyoripoti.