17 Apr 2026 1:14 pm | Citizen TV 720 views Duration: 1:11 Watu 190 kutoka eneo la Antobuchiu, Igembe Kusini, Kaunti ya Meru, waliokula nyama yenye ugonjwa wa kimeta wametibiwa katika Hospitali ya kaunti ndogo ya Nyambene .