Skip to main content
Skip to main content

Watu 3 wauawa kwenye makabiliano ya mzozo wa ardhi ya familia kijijini Kaliet huko Sagamian, Narok

  • | Citizen TV
    550 views
    Duration: 2:13
    Hali ya huzuni imetanda katika kijiji cha Kaliet wadi ya Sagamian eneo bunge la Narok Kusini baada watu watatu kuaga dunia kwenye makabiliano ya mzozo wa kugawana ardhi ya familia.