Skip to main content
Skip to main content

Watu 6 wafariki, wengine 8 wajeruhiwa kwenye ajali katika barabara kuu ya Eldoret–Nakuru.

  • | Citizen TV
    10,764 views
    Duration: 45s
    Watu sita wafariki huku wengine wanane wakijeruhiwa jana usiku katika ajali mbaya ya barabarani iliyohusisha matatu tatu eneo la Mlima Punda, makutano ya lessos, kwenye barabara kuu ya Eldoret–Nakuru.