Skip to main content
Skip to main content

Watu saba wakamatwa Nyeri na kiasi kikubwa cha nyama inayoshukiwa kutoka kwa ng'ombe walioibwa

  • | NTV Video
    3,141 views
    Duration: 2:55
    Watu saba wamekamatwa mjini Nyeri baada ya maafisa wa polisi kuvamia nyumba moja katika eneo la Misha na kupata kiasi kikubwa cha nyama inayoshukiwa kutoka kwa zaidi ya Ng’ombe watatu walioibwa. Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows. Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya