- 1,994 viewsDuration: 3:10Watu wanne wameuwawa baada ya majangili kuvamia kijiji cha NOSURUAI/NANTARANGWETI eneobunge la SAMBURU WEST. Kulingana na wakazi, kundi la watu waliokuwa wamejihami waliwavamia wafugaji wawili waliokuwa malishoni na kuwauwa, kisha kutoroka na mifugo. Wafugaji wengine waliwafuata na kuwauwa wavamizi wawili.