Skip to main content
Skip to main content

Watu wasiojulikana waziba bomba la maji Kisoko, Busia

  • | Citizen TV
    381 views
    Duration: 2:10
    Wenyeji wa Kisoko katika eneo bunge la Nambale kaunti ya Busia wajawa na hofu, baada ya watu wasiojulikana kuziba mradi wa bomba la maji wenye thamani ya shilingi milioni tatu katika shule ya msingi ya wavulana ya Kisok.