Skip to main content
Skip to main content

Watu watano wakamatwa kuhusiana na mauaji ya mwanasiasa Nathan Wasama

  • | Citizen TV
    8,840 views
    Duration: 1:56
    Maafisa wa polisi wamewakamata watu watano kuhusiana na mauaji ya mwanasiasa Cheptais Mt Elgon Nathan Masai Wasama, aliyepigwa risasi na majangili eneo la Chaptais kaunti ya Bungoma Jumamosi usiku.Kwa mujibu wa polisi, washukiwa wawili walijisalimisha wenyewe