- 1,824 viewsDuration: 2:01Watu watatu wamefariki dunia huku wengine wakijeruhiwa kufuatia ajali mbaya barabarani iliyohusisha pikipiki na gari aina ya maruti katika eneo la Mutituni, kaunti ya Machakos. ajali hiyo ilitokea baada ya pikipiki iliyokuwa ikielekea mjini Machakos kugongana gari hilo lililokuwa likielekea Kangundo.