Skip to main content
Skip to main content

Watu watatu wafariki wakijaribu kufungua mfumo wa maji taka Nairobi

  • | Citizen TV
    26,402 views
    Duration: 1:39
    Watu watatu wafariki katika mazingira ambayo bado hayajabainika baada ya kujaribu kufungua mfumo wa maji taka katika eneo la Satellite kando ya Barabara ya Kaveria Lenana Road. Mamlaka husika zimeanzisha uchunguzi kubaini chanzo cha tukio hilo na mazingira yaliyopelekea vifo hivyo.