- 2,025 viewsDuration: 3:19Hali ya taharuki imetanda katika eneo la Lokwaar,Nakuse eneo bunge la Turkana Kusini,, baada ya watu watatu kuuliwa na wezi wa mifugo wanaodaiwa kutoka kaunti jirani. Katika mashambulizi hayo ya usiku wa manane,mifugo zaidi ya elfu mbili waliibwa