Skip to main content
Skip to main content

Watu wawili wafariki baada ya jengo kuporomoka katika soko la Gikomba jijini Nairobi

  • | Citizen TV
    8,398 views
    Duration: 2:43
    Watu wawili wafariki baada ya jengo kuporomoka katika soko la Gikomba jijini Nairobi. Wawili hao wasemekana kuwa walikuwa wakitafuta vyuma vikuukuu wakati jengo lililoathiriwa na janga la moto. Juhudi za kuokoa bado zaendelea kwenye soko hilo.