Skip to main content
Skip to main content

Watu wawili wafariki baada ya lori la mafuta kushika moto katika kaunti ya Kirinyaga

  • | Citizen TV
    5,075 views
    Duration: 46s
    Katika kaunti ya Kirinyaga, Watu wawili waliokuwa kwenye lori moja la kusafirisha mafuta wafariki papo hapo baada ya lori hilo kulipuka kwenye daraja la mto Sagana.