- 4,838 viewsDuration: 2:23Watu wawili wamefariki kwenye maporomoko ya jengo katika eneo la Gikomba jijini Nairobi. Inadaiwa kuwa vijana hao walikuwa wamekwenda kwenye jengo hilo kutafuta vyuma vikuu kuu kabla ya mkasa. Hata hivyo, familia ya mmoja wa waliofariki inasema mtoto wao wa gredi ya tisa alikuwa eneo hilo kutafuta viatu vya shule.